Karibu


Nilijifunza Kiesperanto nilipokuwa na miaka kumi na sita, baadaye nilisomea Kiswahili kwenye Chuo Kikuu cha Napoli (Istituto Universitario Orientale) nilipopata digrii ya Lugha na Fasihi ya Kiswahili.
Ninavutiwa pia na kompyuta, ingawa nilipata shahada ya ufundi mekanika!
Mambo hayo yote hayahusu kazi yangu, kwa hiyo mimi si fundi, lakini hata mimi nimetekeleza kitu, yaani nimeandika kuhusu na kwa lugha za Kiesperanto na Kiswahili, kwa mfano:
na nimetunga programu kadhaa za kompyuta. Kwa mfano
Sikuhizi ninajaribu "kutafsiri" baadha ya programu hizo kwa Visual Basic or Visual C++. Ukipenda kupata programu hizo niandikie nenda kwa:www.vessella.it/ghala.php.

© Nino Vessella , 1996-.
Diritti riservati. Nessuna parte può essere riprodotta, in qualsiasi forma o mezzo, senza citare la fonte.
Ĉiuj rajtoj rezervitaj. Neniu parto povas esti reproduktita, en kiu ajn formo au per kiu ajn metodo, sen mencii ĉi tiun fonton.
Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kunakili sehemu yoyote bila kuitaja asili yake hii.
All rights reserved. No part may be reproduced, in any form or by any means, without mention of this source.
2000 10 20